DIRA: Kuwa Taasisi bora katika kusimamia Taasisi za uwekezaji wa Umma na Mali za Umma katika Afrika Mashariki
DHAMIRA: Kuanzisha na kusimamia mifumo ya usimamizi wa uwekezaji wa Umma na Mali za Umma kupitia miongozo ya kina, wafanyakazi wenye ujuzi stadi na mfumo bora wa usimamizi wa taarifa ili kufanikisha matokeo ya kiuchumi na kijamii yaliyokusidiwa.