
Utiaji saini wa mikataba ya kiutendaji, baina ya Msajili wa Hazina Zanzibar na Wenyeviti wa bodi za Mashirika ya Umma...
Hazina-Ofisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar
Ujumbe wa Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi
“Ni vyema kila Shirika au Taasisi za uwekezaji za Umma zikajitathmini kujua changamoto wanazokabiliana nazo katika uendeshaji wa Taasisi zao na kupanga mipango ya namna ya kutatua changamoto hizo ili kuleta ufanisi mkubwa katika uendeshaji wa Mashirika ya Uwekezaji wa Umma, si vyema kubaki na changamoto ambazo zinasababisha hasara kwa shirika au Taasisi.”
Utiaji saini wa mikataba ya kiutendaji, baina ya Msajili wa Hazina Zanzibar na Wenyeviti wa bodi za Mashirika ya Umma...
Msajili wa Hazina Zanzibar, Ndugu Waheed Muhammad Ibrahim Sanya, ameongoza kikao kazi na wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Hazina...
Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar, Bwana Kubingwa Mashaka Simba, amesisitiza umuhimu wa kutumia muundo wa utumishi...
Mkufunzi wa Warsha ya kuwajengea uwezo Wahasibu Wakuu wa Taasisi za Uwekezaji wa Umma Ndugu Dzingai F. Chaptuwa kutoka Shirika...
Ofisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar inashajihisha Mashirika ya Uwekezaji kuwekeza katika Hati fungani (SUKUU) inayofuata miongozo ya shariah za...