Hazina-Ofisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar
“Lengo Kuu ni Kusimamia Mali katika Taasisi za Umma na uwekezaji wa Mali za Umma katika Taasisi na Mashirika ya Serikali na Kampuni ambazo Serikali ina umuliki wa hisa au zenye maslahi kwa Umma.”