Muundo wa Ofisi ya Msajili wa Hazina ulioidhinishwa na Serikali, unaonesha uwepo wa Msajili wa Hazina ambaye ni Msimamizi Mkuu wa shughuli za kila siku za Ofisi ya Msajili wa Hazina. Muundo huo una idara tatu (3), Ofisi ya Msajili wa Hazina Pemba na vitengo vitano

MUUNDO WETU

Waheed Muhammad Ibrahim Sanya
Msajili wa Hazina

Makunga Ali Mzee
Position: member

Mashavu Adam Salum
Position: member

Khamis Masoud Salum.
Position: member

Khamis kheri Ame.
Position: member

Hamida Maalim Suleiman
Position: member

Habiba Mussa Khamis
Position: member