Hazina-Ofisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Ofisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar

VITENGO
Muundo ulioidhinishwa wa Ofisi ya Msajili wa Hazina una jumla ya viteng vitano (5) vinavyojitegemea.

3.Kitengo cha Ununuzi na Uondoaji wa Umma:

Majukumu ya Kitengo

1)Kusimamia kazi za ununuzi kulingana na Sheria, Kanuni na miongozo iliyowekwa.
2) Kusimamia na kutekeleza maamuzi ya Bodi ya Zabuni.
3) Kutoa huduma za Sekreterieti ya Bodi ya Zabuni ya ofisi ya Msajili wa Hazina.
4) Kupanga mpango wa ununuzi katika ofisi ya Msajili wa Hazina wa mwaka na kuhakikisha unatekelezwa.
5) Kupendekeza mifumo bora ya ki-elektroniki ambayo itatumika kurahisisha utekelezaji na kusaidia kutoa maamuzi hasa kuhusu ununuzi
6) Kutayarisha na kupitia vigezo vitakavyotumika kwenye zabuni.
7) Kutayarisha nyaraka na matangazo ya zabuni.
8) Kuziweka na kuzihifadhi taarifa na taratibu zilizotumika katika ununuzi.