
Hazina-Ofisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar
Ujumbe wa Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi
“Ni vyema kila Shirika au Taasisi za uwekezaji za Umma zikajitathmini kujua changamoto wanazokabiliana nazo katika uendeshaji wa Taasisi zao na kupanga mipango ya namna ya kutatua changamoto hizo ili kuleta ufanisi mkubwa katika uendeshaji wa Mashirika ya Uwekezaji wa Umma, si vyema kubaki na changamoto ambazo zinasababisha hasara kwa shirika au Taasisi.”
“Azma ya Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi ni kuleta mabadiliko kwa mashirika na taasisi za umma Zanzibar. Kumekuwa na mabadiliko…
Serikali imeanzisha mashirika na taasisi za umma ili kupata ufanisi katika sekta mbalimbali na ziweze kuchangia mapato ya kuendesha shughui…
Msajili wa Hazina kwa kushirikiana na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wataalamu wa Udhibiti wa Ubadhirifu na Ufisadi Tanzania ( ACFE)…
Uwepo wa Mashirika ya Umma ni kichocheo cha maendeleo ya Uchumi”. Hii ni kauli mbiu inayotumiwa na Ofisi ya Msajili…