Hazina-Ofisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Ofisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar

VITENGO
Muundo ulioidhinishwa wa Ofisi ya Msajili wa Hazina una jumla ya viteng vitano (5) vinavyojitegemea.

4.Kitengo cha Huduma za Sheria:

Majukumu ya Kitengo

1) Kuhakikisha ofisi ina mfumo bora na unaotekelezwa “Internal control”.
2) Kuandaa mpango kazi wa ukaguzi wa ndani wa kipindi cha mwaka na kuhakikisha unafuatwa katika utekelezaji wake
3) Kufanya ukaguzi wa mapato na matumizi ya Ofisi na raslimali zote na kutayarisha ripoti.
4) Kufanya ukaguzi mifumo yote ya kawaida na kielektroniki ambayo inatumika katika ofisi ya msajili na utayarisha ripoti zake.
5) Kutayarisha ripoti za ukaguzi za robo mwaka, nusu mwaka na mwaka mzima na kuwasilisha kwa Mhe. Waziri wa fedha na sehemu nyenginezo kulingana na matakwa ya Sheria, kanuni na miongozo iliyowekwa.
6) Kukagua na kutoa taarifa juu ya hatua zilizochukuliwa na uongozi dhidi ya hoja za Mkaguzi wa ndani na mkaguzi wa nje zilizotolewa.
7) Kuishauri Taasisi juu ya matumizi bora ya fedha.