Majukumu yake:
1) Kuhifadhi na kusambaza Kumbukumbu na nyaraka mbalimbali za Ofisi kama itakavyoelekezwa na mkuu wa kazi
2) Kushughulikia maombi ya Kumbukumbu na nyaraka kutoka kwa maafisa mbali mbali na Taasisi za Serikali
3) Kuchambua, kuorodhesha na kupanga Kumbukumbuna classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya Ofisi
4) Kuweka, kupanga kumbukumbuna nyaraka katika reki katika Masjala na vyumba vya kuhifadhi kumbukumbu tuli za Ofisi
5) Kusimamia mfumo wa uwekaji wa kumbukumbu wa kielektroniki.