
“Azma ya Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi ni kuleta mabadiliko kwa mashirika na taasisi za umma Zanzibar. Kumekuwa na mabadiliko makubwa ya kimaendeleo kwenye Mashirika ya Umma hususan katika kutoa huduma bora kwa wananchi, kuhakikisha yanakamilisha malengo na mikakati ya Serikali iliyojiwekea.”
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango
Mhe Dkt. Saada Salum Mkuya