Msajili wa Hazina, Waheed Muhammad Ibrahim Sanya leo tarehe 13/03/2025 alikuwa na kikao cha pamoja na viongozi wa CEOs Forum Tanzania Bara. March 14, 2025
Kwa niaba ya Msajili wa Hazina, Ndugu Khadija Masoud Haji Mkurugenzi Utumishi kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina akipokea Tunzo ya shukrani kutoka kwa Uongozi wa Taasisi ya Wataalamu wa Udhibiti wa Udanganyifu katika Kongamano la Kimataifa la Mapambano dhidi ya Udanganyifu katika Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki. February 26, 2025
Mkufunzi wa Warsha ya kuwajengea uwezo Wahasibu Wakuu wa Taasisi za Uwekezaji wa Umma kutoka Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF). February 26, 2025