Ofisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar inashajihisha Mashirika ya Uwekezaji kuwekeza katika Hati fungani (SUKUU) inayofuata miongozo ya shariah za kiislam na kuekeza katika Miradi ya kimaendeleo Zanzibar na kupata faida mara mbili kwa mwaka . wekeza sasa kwa maendeleo ya Zanzibar
